- Arusha Jacaranda Street, Arusha
- info@tcciaarusha.or.tz
SAJILI KAMPUNI YAKO UKIWA NA TCCIA ARUSHA
HUDUMA ZETU
NIFANYEJE ILI KUSAJILI AU KUUPDATE KAMPUNI?
TUNACHOHITAJI KUTOKA KWAKO NI:-
FAIDA ZA KURASIMISHA BIASHARA YAKO
kupitia jina lililosajiliwa la biashara mfanyabiashara atatambulika na serikali na wadau mbalimbali wa kibiashara.
Jina la biashara lililosajiliwa linakuwa brand name yako kwa wateja wako
Urahisi wa huduma za kifedha:- kupitia jina la biashara lililosajiliwa mfanyabiashara anaweza kufungua akaunti ya biashara benki pamoja na kuwezesha upatikanaji wa mikopo ya kukuza biashara kwa ufanisi
kupiitia jina la biashara lililosajiliwa mfanyabiashara ataaminika kwa wadau mbalimbali wa kibisahara na kumuweesha kupata tenda za serikali na binafsi